Kiholiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiholiya ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Waholiya. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiholiya imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiholiya iko katika kundi la Kikannada.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiholiya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.