Kiho
Mandhari
Kiho ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Waho. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiho imehesabiwa kuwa watu 1,040,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiho iko katika kundi la Kimunda.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiho kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiho Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiho katika Glottolog
- lugha ya Kiho kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |