Kigweda
Mandhari
Kigweda ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wagweda. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kigweda imehesabiwa kuwa watu 26 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigweda iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigweda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigweda Archived 16 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigweda katika Glottolog
- lugha ya Kigweda kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigweda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |