Nenda kwa yaliyomo

Kiguguyimidjir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiguugu-Yimithirr)

Kiguguyimidjir (au Kiguugu-Yimithirr) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waguguyimidjir katika jimbo la [[Queensland]. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiguguyimidjir 780. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguguyimidjir kiko katika kundi lake lenyewe la Kiguguyimidjir.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiguguyimidjir kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.