Kigurage cha Sebat Bet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigurage cha Sebat Bet (pia Kigurage-Magharibi) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wagurage. Idadi ya wasemaji wa Kigurage Sebat Bet imehesabiwa kuwa watu 440,000. Kuna lahaja mbalimbali kama Kichaha (wasemaji 130,000), Kiezha (wasemaji 120,000), Kimuher (wasemaji 90,000), Kigyeto (wasemaji 80,000) na Kigura (wasemaji 20,000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigurage cha Sebat Bet iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigurage cha Sebat Bet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.