Kigezo:Nyota
Mandhari
Ukitaka kutumia sanduku hili unakili maandishi jinsi inavyoonekana hapo chini ndani ya mstari uliovunjika na fuata maelezo:
- Nakili maandishi hapo chini
- Uyaweke mwanzo wa makala kabla ya kila andishi.
- Baada ya alama ya = andika yale unayotaka.
- Pale usipoandika haionyeshi mstari wote.
- Kwa picha fuata maelezo katika mabano ya >> << na FUTA MAELEZO HAYA YOTE baada ya alama ya =
- kwa rangi tumia majina jinsi yalivyo katika orodha ya rangi hili.
- Usisahau mabano aina ya { na } mwanzo na mwishoni. Usifute mstari.
{{nyota | jina = | picha = | maelezo_ya_picha = | kundinyota = | Mwangaza unaonekana= | kundi la spektra = | paralaksi = | umbali = | mwangaza halisi = | masi = | nusukipenyo = | mng’aro = | jotoridi usoni = | muda wa mzunguko = | majina mbadala = }}