Kigezo:Msanii muziki/hati
Mandhari
Sanduku la "Msanii muziki"
[hariri chanzo]Sanduku hili linatumiwa kujumlisha habari za msanii wa muziki.
Ukitaka kutumia sanduku hili unakili maandishi jinsi inavyoonekana ndani ya mstari uliovunjika na fuata maelezo:
- Nakili maandishi hapo chini
- Uyaweke yote mwanzo wa makala kabla ya kila andishi.
- Baada ya alama ya = andika yale unayotaka.
- Pale usipoandika haionyeshi mstari wote.
- Kwa picha fuata maelezo katika mabano ya >> << na FUTA MAELEZO HAYA YOTE baada ya alama ya =
- kwa rangi tumia majina jinsi yalivyo katika orodha ya rangi hili.
- Usisahau mabano aina ya { na } mwanzo na mwishoni. Usifute mstari.
{{Msanii muziki | rangi = | jina = | picha = | maelezo_ya_picha = | jina kamili = | jina la kisanii = | alizaliwa = | alikufa = | nchi = | aina ya muziki = | kazi yake = | miaka ya kazi = | ameshirikiana na = | ala = | kampuni = }}