Kigezo:Infobox musical artist 2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

[[Category:Infobox templates|Kigezo:Remove first word]]

Infobox musical artist 2 ni sanduku la habari la "Msanii muziki 2". Lina utofauti kidogo na lile la awali kwa vitu kadhaa. Hili lina uwezo wa kuweka msanii mmoja na hata wawili, yaani sanduku hili linaweza kutumika kwa msanii wa kujitegemea na kundi la muziki. Jinsi ya kutumia sanduku hili, ni kufuata mlolongo wa mifano hai iliyowekwa hapo chini na uanze kulitumia. Ukiona bado ni shida, basi tafuta ukurasa ambao tayari ushaandikwa na kutumiwa masanduku haya.

Matumizi[hariri chanzo]

Template hii inatumika katika makala hasa mwanzoni mwa ukurasa, kabla ya kutambulisha maelezo ya makala husika.

Kodi za template katika makala[hariri chanzo]

{{Infobox musical artist 2
|jina      = 
|picha       = picha muhusika
|maelezo    = maelezo ya picha
|landscape    = yes
|background   = solo_singer
|jina la kuzaliwa   = XXXX
|jina lingine      =
|tarehe ya kuzaliwa = {{Birth date and age|MWAKA|MWEZI|TAREHE|df=yes}}
|mahali pa kuzaliwa = 
|tarehe ya kufa      = {{Death date and age|MWAKA|MWEZI|TAREHE|MWAKA|MWEZI|TAREHE}} (unaanza kuandika tarehe ya kufa halafu ndiyo uandike ya kuzaliwa)
|ala   = 
|aina      = aina ya muziki anaofanya
|kazi yake   = 
|miaka ya kazi  = 
|studio      = 
|ameshirikiana na = 
|tovuti       = {{URL|http://john-cale.com/}}
}}

Background zake[hariri chanzo]

Template hii inawezekana kutumika katika jamii zisizopungua saba kwa kutumia mfumo wa kuweka kodi za rangi kwa mujibu wa msanii au kundi na kila kodi ina rangi zake. Kila kodi ya rangi itakayoingizwa, basi ujue itajitokeza maramoja kutoka katika kundi lake husika iwe kundi/msanii mmoja n.k. Lakini bado utaratibu umebaki kuwa Kiingereza hadi hapo itakapobadilishwa na kuwekwa kwa Kiswahili. Hivyo utalazimika kufuata utaratibu wa kodi za rangi kwa mujibu wa mwonekano wake hapo chini.

Kigezo:Infobox Musical artist 2/doc/type