Kigezo:Coord

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta


Documentation icon Nyaraka za kigezo[umba]

Unaweza kuonyesha anwani ya kijiografia (ing. coordinates) juu ya makala ya mji, jengi au mahali pengine na kuitazama kwenye ramani kwa kugonga tu.

Unaweza kutafuta anwani hii kwa mfano kutoka google earth, kama hii: 29°58'45.78"N 31° 8'4.92"E. Utakumbuka tarakimu pale, halafu utanakili mstari wa mfano hapo chini na kubadilisha tarakimu ipasavyo, halafu ingiza katika makala. Tahadhari: ukichukua kutoka google earth utumie sehemu tatu za kwanza pekee, acha sehemu za sekunde yaani nukta na tarakimu baadaye (hapo juu utatumia tarakimu zinazoonekana koze pekee)

{{Coord|29|58|45|N|31|8|4|W|display=title}}

Mfano huu unatumia anwani inayoonyeshwa kwa gredi, dakika na sekunde. Utaichukua kutoka Google Earth kwa kuweka marker njano mahali penyewe halafu unaweza kuona namba za anwani kwa kuangalia tabia za marker.

Sehemu ya mwisho "display=title" acha ilivyo.


Kuna pia programu za ramani zinazoonyesha anwani kwa namna ya desimali, kwa mfano Google Maps. Unabofya right-click na "What is here", unaona tarakimu za anwani. Halafu utumie mfano hapo chini kwa anwani 29.979571,31.134668 :

{{Coord|29.979571|31.134668|display=title}}

Utabadilisha tarakimu ipasavyo.