Kigangte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigangte ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagangte. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kigangte imehesabiwa kuwa watu 14,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigangte iko katika kundi la Kikukish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigangte kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.