Kiersu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiersu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Waersu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiersu imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiersu iko katika kundi lake lenyewe la Kiersu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiersu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.