Kienya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kienya (lugha))

Kienya ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waenya. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kienya imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kienya iko katika kundi la D10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kienya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.