Kiefate-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiefate-Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waefate kwenye kisiwa cha Efate. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiefate-Kusini imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiefate-Kusini iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiefate-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.