Kiduruwa
Mandhari
Kiduruwa ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Waduruwa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiduruwa imehesabiwa kuwa watu 51,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduruwa iko katika kundi la Kiparji-Gadaba.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiduruwa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiduruwa Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiduruwa katika Glottolog
- lugha ya Kiduruwa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiduruwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |