Kidrung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidrung ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wadrung. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidrung imehesabiwa kuwa watu 14,000. Pia kuna wasemaji 225 nchini Myanmar. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidrung iko katika kundi la Kinungish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.