Nenda kwa yaliyomo

Kidizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidizi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wadizi. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kidizi imehesabiwa kuwa watu 21,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidizi iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidizi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.