Kidime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidime ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wadime. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kidime imehesabiwa kuwa watu 6500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidime iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidime kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.