Kidimbong
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kidimbong (lugha))
Kidimbong ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadimbong. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kidimbong imehesabiwa kuwa watu 140 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidimbong iko katika kundi la A50.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidimbong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidimbong Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidimbong katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dii
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidimbong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |