Nenda kwa yaliyomo

Kidigaro-Mishmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidigaro-Mishmi (pia Kidarang-Deng) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wadigaro-Mishmi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidigaro-Mishmi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 34,000. Pia kuna wasemaji 850 nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidigaro-Mishmi iko katika kundi lake lenyewe la Kidigaro.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidigaro-Mishmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.