Nenda kwa yaliyomo

Kidengese

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kidengese (lugha))

Kidengese ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wadengese. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidengese imehesabiwa kuwa watu 8600. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidengese iko katika kundi la C90.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidengese kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.