Kidema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidema ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wadema. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidema imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidema iko katika kundi la S10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.