Kidawida
Mandhari
Kidawida (au Kidaw'ida) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wadawida (au Wadaw'ida). Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kidawida imehesabiwa kuwa watu 254,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidawida iko katika kundi la E70.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidawida kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidawida Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidawida katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dav
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidawida kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |