Kichoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichoni ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wachoni. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kichoni imehesabiwa kuwa watu 154,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichoni iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.