Kichina cha Min Zhong
Mandhari
Kichina ya Min Zhong ni lugha ya Kisino-Tibeti inayozungumzwa na Wahan, hasa katika jimbo la Fujian upande wa kusini-mashariki nchini Uchina. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kichina ya Min Zhong imehesabiwa kuwa watu milioni 3.1. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichina ya Min Zhong iko katika kundi la Kichina.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kichina ya Min Zhong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichina ya Min Zhong Archived 17 Oktoba 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichina ya Min Zhong katika Glottolog
- lugha ya Kichina ya Min Zhong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichina cha Min Zhong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |