Nenda kwa yaliyomo

Kichin cha Laitu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichin ya Laitu (pia Kilaitu) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar inayozungumzwa na Walaitu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Laitu imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Laitu iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichin cha Laitu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.