Kichara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichara ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wachara. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kichara imehesabiwa kuwa watu 6930. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichara iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.