Kibyep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibyep (lugha))

Kibyep ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabyep. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kibyep imehesabiwa kuwa watu 9500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibyep iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibyep kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.