Kibwela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibwela (lugha))

Kibwela ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabwela. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibwela imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibwela iko katika kundi la C50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibwela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.