Kibutsi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibutsi (Kiebrania: קיבוץ, קִבּוּץ) ni jumuia ya wakulima wayahudi. Siku hizi vibutsi viko Uisraelini. Ilikuwa nyendo muhimu ya historia ya wayahudi. Sasa idadi ya wanakibutsi imepunguka - kosakosa tano toka kila mia ni wanakibutsi Uisraelini.


Maisha Kibutsi[hariri | hariri chanzo]

Vibutsi huendeshwa na dhana za Utsioni na ujamaa.

Kibutsi Kfar Masaryk