Kibondo (Uhindi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibondo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabondo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibondo imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibondo iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibondo (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.