Kibomboli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibomboli (lugha))

Kibomboli ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabomboli. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kibomboli imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibomboli iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibomboli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.