Kibolondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibolondo (lugha))

Kibolondo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabolondo. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibolondo imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibolondo iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibolondo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.