Kiboano cha Maluku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiboano ya Maluku)

Kiboano ya Maluku ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waboano kwenye visiwa vya Seram na Boano. Isichanganywe na lugha ya Kiboano izungumzwayo kisiwani Sulawesi; ni lugha tofauti. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiboano imehesabiwa kuwa watu 3240. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboano iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboano cha Maluku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.