Kibisis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibisis ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabisis. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibisis imehesabiwa kuwa watu 450. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibisis iko katika kundi la “Sepik Hill”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibisis kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.