Nenda kwa yaliyomo

Kibikol cha Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibikol ya Katikati)

Kibikol ya Katikati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabikol. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kibikol ya Katikati imehesabiwa kuwa watu milioni mbili na nusu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibikol ya Katikati iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibikol cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.