Kibaule
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibaoule)
Kibaule ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabaule. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibaule imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni mbili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaule iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibaule kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibaule Archived 19 Desemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibaule katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bci
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibaule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |