Kibakole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibakole (lugha))

Kibakole ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabakole. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibakole imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibakole iko katika kundi la A20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakole kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.