Kibaima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibaima ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wabaima. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibaima imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibaima iko katika kundi lake lenyewe la Kibaima.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaima kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.