Kibafia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibafia (lugha))

Kibafia ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabafia. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibafia imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibafia iko katika kundi la A50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibafia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.