Kibadaga
Mandhari
Kibadaga ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabadaga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibadaga imehesabiwa kuwa watu 135,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibadaga iko katika kundi la Kikannada.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibadaga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibadaga Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibadaga katika Glottolog
- lugha ya Kibadaga kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibadaga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |