Kiazha
Jump to navigation
Jump to search
Kiazha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiazha imehesabiwa kuwa watu 53,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiazha iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kiazha kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiazha
- lugha ya Kiazha katika Glottolog
- lugha ya Kiazha kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiazha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |