Kiaribwatsa
Mandhari
Kiaribwatsa ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Waaribwatsa. Mwaka wa 1997 msemaji wa mwisho wa Kiaribwatsa alifariki, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaribwatsa iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaribwatsa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaribwatsa Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaribwatsa katika Glottolog
- lugha ya Kiaribwatsa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaribwatsa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |