Kiaraki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaraki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waaraki kwenye kisiwa cha Araki. Idadi ya wasemaji wa Kiaraki haijulikani lakini ni wachache tu na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaraki iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaraki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.