Kiaore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaore ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu iliyozungumzwa na Waaore kwenye kisiwa cha Santo. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaore, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaore iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.