Kianong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kianong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wanung. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kianong imehesabiwa kuwa watu 400 nchini Myanmar na hamsini tu nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kianong iko katika kundi la Kinung.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.