Kiakar-Bale
Mandhari
Kiakar-Bale ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wabale visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiakar-Bale tena yaani lugha imetoweka kabisa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiakar-Bale kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiakar-Bale Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiakar-Bale katika Glottolog
- lugha ya Kiakar-Bale kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiakar-Bale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |