Kiaka-Kora
Mandhari
Kiaka-Kora ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wakora visiwani mwa Andaman. Msemaji wa mwisho wa Kiaka-Kora aliaga dunia mwaka wa 2009 yaani lugha imetoweka kabisa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaka-Kora kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaka-Kora Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiaka-Kora katika Glottolog
- lugha ya Kiaka-Kora kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Kora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |