Kiaka-Kede

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaka-Kede ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wakede visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaka-Kede tena yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Kede kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.