Kiaka-Jeru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaka-Jeru ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wajeru visiwani mwa Andaman. Msemaji wa mwisho wa Kiaka-Jeru aliaga dunia mwaka wa 2009 yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Jeru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.