Kiaka-Bea
Mandhari
Kiaka-Bea ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wabea visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaka-Bea tena yaani lugha imetoweka kabisa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaka-Bea kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaka-Bea Archived 11 Desemba 2019 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiaka-Bea katika Glottolog
- lugha ya Kiaka-Bea kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Bea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |